sw_mat_text_reg/11/25.txt

1 line
428 B
Plaintext

\v 25 Katika muda huo Yesu alisema, "Nakusifu wewe, Baba, Bwana wa Mbingu na Nchi, kwa sababu uliwaficha mambo haya wenye hekima na ufahamu, na kuyafunua kwa wasio na elimu, kama watoto wadogo. \v 26 Baba kwa kuwa ilikupendeza hivyo machoni pako. \v 27 Mambo yote yamekabidhiwa kwangu kutoka kwa Baba. Na hakuna amjuaye Mwana isipokuwa Baba, na hakuna amjuaye Baba isipokuwa Mwana, na yeyote ambaye Mwana ana hamu ya kumfunulia.