sw_mat_text_reg/10/02.txt

1 line
318 B
Plaintext

\v 2 Majina ya mitume kumi na wawili ni haya. La kwanza simeoni (ambaye pia anaitwa Petro), na Andrea kaka yake, Yakobo mwana wa Zebedayo, na Yohana kaka yake: \v 3 Philipo, na Bartelemayo, Thomaso, na Mathayo mtoza ushuru, Yakobo mwana wa Alfayo, na Tadeo, \v 4 Simoni mkananayo, na Yuda iskariote, ambaye alimsaliti.