sw_mat_text_reg/09/32.txt

1 line
326 B
Plaintext

\v 32 Ndipo wale wanaume wawili walipokuwa wakienda zao, Tazama, mtu mmoja bubu aliyepagawa na pepo akaletwa kwa Yesu. \v 33 Na pepo walipomtoka, yule mtu bubu akaanza kuongea. Umati ukashangazwa na kusema "Hii haijawahi kutokea katika Israel. \v 34 Lakini mafarisayo walikuwa wakisema " Kwa wakuu wa pepo, anawafukuza mapepo"