sw_mat_text_reg/09/18.txt

1 line
262 B
Plaintext

\v 18 Wakati Yesu alipokuwa akiwaambia mambo hayo, tazama, afisa akaja akasujudu mbele yake, Naye akasema, " Binti yangu amefariki punde, lakini njoo na uweke mkono wako juu yake na yeye ataishi tena. \v 19 Ndipo Yesu akasimama na kumfuata na wanafunzi wake pia.