1 line
292 B
Plaintext
1 line
292 B
Plaintext
\v 4 Sasa Yohana alivaa manyoya ya ngamia na mkanda wa ngozi kiunoni mwake. Chakula chake kilikuwa nzige na asali ya mwituni. \v 5 Kisha Yerusalemu, Yuda yote, na eneo lote linalozunguka mto Yorodani wakaenda kwake. \v 6 Walikuwa wakibatizwa naye katika mto Yorodani huku wakitubu dhambi zao. |