sw_mat_text_reg/18/01.txt

1 line
277 B
Plaintext

\v 1 Muda huo huo wanafunzi wakaja kwa Yesu na kumwambia, "Ni nani aliye mkubwa katika ufalme wa mbinguni?" \v 2 Yesu akamwita mtoto mdogo, akamweka katikati yao, \v 3 na kusema, "Kweli nawaambieni, msipotubu na kuwa kama watoto wadogo hamtaweza kuingia katika ufalme wa Mungu.