sw_mat_text_reg/13/40.txt

1 line
441 B
Plaintext

\v 40 Kama vile magugu yanavyo kusanywa na kuchomwa moto, hivyo ndivyo itakavyo kuwa mwisho wa ulimwengu. \v 41 Mwana wa Adamu atatuma malaika wake, na kukusanya kutoka katika ufalme wake mambo yote yaliyosababisha dhambi na wale watendao maasi. \v 42 Watawatupa wote katika tanuru la moto, ambako kutakuwa na kilio na kusaga meno. \v 43 Ndipo watu wenye haki watakapong'aa kama jua katika Ufalme wa Baba yao. Yeye aliye na masikio na sikie.