\v 22 Wakati wakiwa bado Galilaya, Yesu akawaambia Wanafunzi wake, "Mwana wa Adamu atatiwa mikononi mwa watu. \v 23 Na watamwua, na siku ya tatu atafufuka." Wanafunzi walihuzunika sana.