sw_mat_text_reg/28/16.txt

1 line
166 B
Plaintext

\v 16 Lakini wale mitume kumi na mmoja walienda Galilaya, kwenye ule mlima aliokuwa amewaelekeza. \v 17 Nao walipomwona, walimwabudu. lakini baadhi yao waliona shaka.