sw_mat_text_reg/28/08.txt

1 line
349 B
Plaintext

\v 8 Wale wanawake waliondoka pale kaburini haraka wakiwa na hofu na furaha kubwa, na wakakimbia kuwaambia wanafunzi wake. \v 9 Tazama Yesu akakutana nao na kusema, "Salamu."wale wanawake walikuja na kushika miguu yake, na kisha wakamwabudu. \v 10 Kisha Yesu akawaambia, "msiogope, nendeni mkawaambie ndugu zangu watangulie Galilaya. Huko wataniona.