sw_mat_text_reg/27/48.txt

1 line
285 B
Plaintext

\v 48 Mara moja mmoja wao alikimbia kuchukua sifongo na kuijaza kinywaji kichungu, akaiweka juu ya mti na kumpa apate kunywa. \v 49 Nao waliosalia wakasema, "Mwacheni peke yake, acheni tuone kama Eliya atakuja kumwokoa." \v 50 Kisha Yesu akalia tena kwa sauti kuu na akaitoa roho yake.