sw_mat_text_reg/27/35.txt

1 line
217 B
Plaintext

\v 35 Wakati walipokuwa wamemsulibisha, waligawana mavazi yake kwa kupiga kura. \v 36 Na waliketi na kumwangalia. \v 37 Juu ya kichwa chake waliweka mashitaka dhidi yake yakisomeka, "Huyu ni Yesu, mfalme wa Wayahudi."