\v 30 Na walimtemea mate, na walitwaa mwanzi na kumpiga kichwani. \v 31 Wakati walipokuwa wakimkejeri, walimvua ile kanzu na kumvika nguo zake, na kumwongoza kwenda kumsulibisha.