sw_mat_text_reg/27/20.txt

1 line
287 B
Plaintext

\v 20 Ndipo wakuu wa makuhani na wazee waliwashawishi makutano wamwombe Baraba, na Yesu auawe. \v 21 Liwali aliwauliza, "Ni yupi kati ya wawili mnataka mimi nimwachie kwenu?" Walisema, "Baraba." \v 22 Pilato akawaambia, "Nimtendee nini Yesu anayeitwa Kristo?" Wote wakajibu, "Msulibishe"