sw_mat_text_reg/27/15.txt

1 line
160 B
Plaintext

\v 15 Sasa katika sikukuu ilikuwa desturi ya liwali kumfungua mfungwa mmoja anayechaguliwa na umati. \v 16 Wakati huo walikuwa na mfungwa sugu jina lake Baraba.