sw_mat_text_reg/27/09.txt

1 line
253 B
Plaintext

\v 9 Kisha lile neno lililokuwa limenenwa na nabii Yeremia lilitimia, kusema, "Walitwaa vipande thelathini vya fedha, gharama iliyopangwa na watu wa Israel kwa ajili yake, \v 10 na waliitumia kwa shamba la mfinyanzi, kama Bwana alivyokuwa amenielekeza."