sw_mat_text_reg/27/03.txt

1 line
415 B
Plaintext

\v 3 Kisha wakati Yuda, ambaye alikuwa amemsaliti, aliona kwamba Yesu amekwisha kuhukumiwa, alijuta na kurudisha vipande thelathini vya fedha kwa mkuu wa makuhani na wazee, \v 4 na akasema, "Nimefanya dhambi kwa kuisaliti damu isiyo na hatia." Lakini wakajibu, "Inatuhusu nini sisi? Yaangalie hayo mwenyewe." \v 5 Kisha alivirusha chini vile vipande vya fedha katika hekalu, na kuondoka zake na kujinyonga mwenyewe.