sw_mat_text_reg/27/01.txt

1 line
179 B
Plaintext

\v 1 Muda wa asubuhi ulipofika, wakuu wote wa makuhani na wazee wa watu walikula njama dhidi ya Yesu wapate kumuua. \v 2 Walimfunga, walimwongoza, na kumfikisha kwa Liwali Pilato.