sw_mat_text_reg/26/36.txt

1 line
337 B
Plaintext

\v 36 Baadaye Yesu alienda nao mahali panapoitwa Gethsemane na aliwaambia wanafunzi wake, "Kaeni hapa wakati nikienda huko na kuomba." \v 37 Akamchukua Petro na wana wawili wa Zebedayo na akaanza kuhuzunika na kusononeka. \v 38 Kisha aliwaambia, "Roho yangu ina huzuni kubwa sana, hata kiasi cha kufa. Bakini hapa na mkeshe pamoja nami."