sw_mat_text_reg/25/44.txt

1 line
382 B
Plaintext

\v 44 Ndipo wao pia watamjibu na kusema, 'Bwana, lini tulikuona ukiwa na njaa, au una kiu, au u mgeni, au ukiwa uchi, au ukiwa mgonjwa, au ukiwa mfungwa, na hatukukuhudumia? \v 45 Kisha atawajibu na kusema, 'Kweli nawaambia, kile ambacho hamkutenda kwa mmoja wa hawa wadogo, hamkunitendea mimi.' \v 46 Hawa watakwenda katika adhabu ya milele bali wenye haki katika uzima wa milele."