sw_mat_text_reg/25/19.txt

1 line
431 B
Plaintext

\v 19 Na baada ya muda mrefu, bwana wa watumwa hao alirudi na kutengeneza mahesabu nao. \v 20 Yule mtumwa aliyepokea talanta tano alikuja na kuleta talanta zingine tano, akasema, 'Bwana, ulinipa talanta tano. Tazama, nimepata faida ya talanta zingine tano.' \v 21 Bwana wake alimwambia, 'Hongera, mtumwa mzuri na mwaminifu! Umekuwa mwaminifu kwa vitu vidogo. Nitakupa madaraka juu ya vitu vingi. Ingia katika furaha ya bwana wako.'