1 line
322 B
Plaintext
1 line
322 B
Plaintext
\v 7 Ndipo hao wanawali waliamka wote na kuwasha taa zao. \v 8 Wale wapumbavu waliwaambia wale welevu, 'Mtupatie sehemu ya mafuta yenu kwa sababu taa zetu zinazimika.' \v 9 Lakini wale welevu waliwajibu na kuwaambia, 'Kwa kuwa hayatatutosha sisi na ninyi, badala yake nendeni kwa wanaouza mjinunulie kiasi kwa ajili yenu.' |