sw_mat_text_reg/25/01.txt

1 line
353 B
Plaintext

\v 1 Ndipo ufalme wa mbinguni utafananishwa na wanawali kumi waliochukua taa zao na kuondoka kwenda kumpokea bwana harusi. \v 2 Watano miongoni mwao walikuwa wapumbavu na watano wengine walikuwa werevu. \v 3 Wanawali wapumbavu walipochukua taa zao, hawakuchukua mafuta yoyote. \v 4 Bali wanawali welevu walichukua vyombo vyenye mafuta pamoja na taa zao.