sw_mat_text_reg/24/34.txt

1 line
156 B
Plaintext

\v 34 Kweli nawaambia, kizazi hiki hakitapita, hadi mambo yote haya yatakuwa yametokea. \v 35 Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.