sw_mat_text_reg/24/19.txt

1 line
408 B
Plaintext

\v 19 Lakini ole wao ambao wana mtoto na wale ambao wananyonyesha katika siku hizo! \v 20 Ombeni kwamba kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi, wala siku ya sabato. \v 21 Kwa kuwa kutakuwa na dhiki kuu, ambayo haijawahi kuwapo tangu kuumbwa kwa ulimwengu hadi sasa, na wala haitakuwapo tena. \v 22 Kama siku hizo zisingefupishwa, hakuna ambaye angeokoka. Lakini kwa sababu ya wateule, siku hizo zitafupishwa.