sw_mat_text_reg/24/15.txt

1 line
349 B
Plaintext

\v 15 Kwa hiyo, mtakapoona chukizo la uharibifu, lililosemwa na nabii Danieli limesimama mahali patakatifu [asomaye na afahamu], \v 16 ndipo walioko Yuda wakimbilie milimani. \v 17 Na yule aliyeko juu ya paa la nyumba asiweze kuteremka chini kuchukua kitu chochote kutoka ndani ya nyumba yake, \v 18 naye aliyeko shambani asirudi kuchukua vazi lake.