sw_mat_text_reg/24/09.txt

1 line
247 B
Plaintext

\v 9 Ndipo watawatoa kwa ajili ya mateso na kuwaua. Mtachukiwa na mataifa yote kwa sababu ya jina langu. \v 10 Ndipo wengi watajikwaa na kusalitiana na watachukiana wenyewe kwa wenyewe. \v 11 Manabii wengi wa uongo watatokea na kuwadanganya wengi.