sw_mat_text_reg/23/20.txt

1 line
264 B
Plaintext

\v 20 Kwa hiyo, yeye aapaye kwa madhabahu huapa kwa hiyo na kwa vitu vyote vilivyo juu yake. \v 21 Naye aapaye kwa hekalu, huapa kwa hilo na kwa yeye akaaye ndani yake. \v 22 Na yeye aapaye kwa mbingu, huapa kwa kiti cha enzi cha Mungu na kwa yeye aketie juu yake.