sw_mat_text_reg/23/08.txt

1 line
282 B
Plaintext

\v 8 Lakini ninyi hampaswi kuitwa "Walimu," Kwa kuwa mnaye Mwalimu mmoja, na ninyi wote ni ndugu. \v 9 Msimuite mtu yeyote hapa duniani kuwa baba yenu, kwa kuwa mnaye Baba mmoja tu, naye yuko mbinguni. \v 10 Wala msije kuitwa 'walimu,' kwa kuwa mnaye Mwalimu mmoja tu, yaani Kristo.