sw_mat_text_reg/22/34.txt

1 line
246 B
Plaintext

\v 34 Lakini Mafarisayo waliposikia kuwa Yesu amewanyamazisha Masadukayo, walijikusanya wao wenyewe kwa pamoja. \v 35 Mmoja wao, akiwa mwana sheria, alimwuliza swali kwa kumjaribu. \v 36 "Mwalimu, ni amri ipi iliyo kuu kuliko zote katika sheria?"