sw_mat_text_reg/22/31.txt

1 line
291 B
Plaintext

\v 31 Lakini kuhusu ufufuo wa wafu, hamjawahi kusoma kile ambacho Mungu alikisema kwenu, akisema, \v 32 Mimi ni Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo? Mungu si Mungu wa wafu, bali ni Mungu wa walio hai." \v 33 Wakati kusanyiko waliposikia hili, waliyashangaa mafundisho yake.