\v 18 Yesu alifahamu uovu wao na akasema, "Kwa nini mnanijaribu, enyi wanafiki? \v 19 Nionesheni pesa itumikayo kulipia kodi." Ndipo wakamletea dinari.