sw_mat_text_reg/22/15.txt

1 line
438 B
Plaintext

\v 15 Ndipo Mafarisayo waliondoka na kupanga jinsi ya kumkamata Yesu katika maneno yake mwenyewe. \v 16 Ndipo walipowatuma wanafunzi wao pamoja na Maherode. Na walimwambia Yesu, "Mwalimu, tunajua kuwa wewe ni mtu wa kweli, na kwamba unafundisha matakwa ya Mungu katika ukweli. Haujali maoni ya mtu mwingine na hauoneshi upendeleo kwa watu. \v 17 Kwa hiyo tuambie, unafikiri nini? Je, ni sahihi kisheria kulipa kodi kwa Kaisari au hapana?"