sw_mat_text_reg/22/13.txt

1 line
221 B
Plaintext

\v 13 Ndipo mfalme alipowaambia watumishi wake, "Mfungeni mtu huyu mikono na miguu na mtupeni nje katika giza, huko ambako kutakuwa na kilio na kusaga meno. \v 14 Kwa kuwa watu wengi wanaitwa, lakini wateule ni wachache."