sw_mat_text_reg/22/01.txt

1 line
251 B
Plaintext

\v 1 Yesu alisema nao tena katika mifano, akisema, \v 2 "Ufalme wa mbinguni unafanana na mfalme aliyeandaa sherehe ya harusi ya mwanawe. \v 3 Akawatuma watumishi wake kuwakaribisha waliokuwa wamealikwa kuja katika sherehe ya harusi, lakini hawakufika.