sw_mat_text_reg/21/25.txt

1 line
404 B
Plaintext

\v 25 Ubatizo wa Yohana- ulitoka wapi, mbinguni au kwa wanadamu?" Wakahojiana wenyewe, wakisema, tukisema, ulitoka mbinguni, `atatuambia, kwa nini hamkumwamini? ` \v 26 Lakini tukisema, `ulitoka kwa wanadamu, `tunawaogopa makutano, kwa sababu wote wanamwona Yohana kama nabii." \v 27 Kisha wakamjibu Yesu na kusema, "Hatujui" Akawaambia pia, "Wala mimi sitawaambia ni kwa mamlaka gani nafanya mambo haya.