sw_mat_text_reg/21/23.txt

1 line
348 B
Plaintext

\v 23 Yesu alipofika hekaluni, wakuu wa makuhani na wazee wa watu wakamjia wakati alipokuwa akifundisha na kumwuliza, "Ni kwa mamlaka gani unafanya mambo haya? Na ni nani aliyekupa mamlaka haya?" \v 24 Yesu akajibu na kuwaambia, "Nami tena nitawauliza swali moja. kama mkiniambia, nami vilevile nitawaambia ni kwa mamlaka gani ninafanya mambo haya.