sw_mat_text_reg/21/20.txt

1 line
377 B
Plaintext

\v 20 Wanafunzi walipoona, wakastaajabu na kusema, "Imekuwaje mtini umenyauka mara moja?" \v 21 Yesu akajibu na kuwaambia, "Kweli nawaambieni, kama mkiwa na imani na bila wasiwasi, hamtafanya kile kilichofanyika kwa huo mtini tu, lakini mtauambia hata huo mlima, ` uchukuliwe na ukatupwe baharini, `na itafanyika. \v 22 Chochote mtakachoomba kwa sala, huku mkiamini, mtapokea."