sw_mat_text_reg/21/18.txt

1 line
240 B
Plaintext

\v 18 Asubuhi alipokuwa anarudi mjini, alikuwa na njaa. \v 19 Aliona mtini kandokando ya barabara. Akauendea, lakini hakupata kitu juu yake isipokuwa majani. Aliuambia, "Kusiwe na matunda kwako daima tena." Na mara hiyo mtini ule ukanyauka.