sw_mat_text_reg/20/29.txt

1 line
356 B
Plaintext

\v 29 Wakati wakitoka Yeriko, umati mkubwa ulimfuata. \v 30 Na waliwaona vipofu wawili wameketi kando ya barabara. Waliposikia kuwa Yesu alikuwa anapita, walipaza sauti na kusema, "Bwana, Mwana wa Daudi, utuhurumie." \v 31 Lakini umati ukawakemea, na kuwaambia nyamazeni. Hata hivyo, wao wakapaza sauti zaidi na kusema, "Bwana, Mwana wa Daudi, utuhurumie."