sw_mat_text_reg/20/11.txt

1 line
243 B
Plaintext

\v 11 Baada ya kupokea malipo yao, walimlalamikia mmiliki wa shamba. \v 12 Wakasema, 'Hawa wafanyakazi wa mwisho wametumia saa moja tu katika kufanya kazi, lakini umewalinganisha na sisi, sisi tumebeba mzigo kwa siku nzima na kuungua na joto.'