sw_mat_text_reg/20/08.txt

1 line
377 B
Plaintext

\v 8 Wakati wa jioni ulipofika, mwenye shamba la mizabibu alimwambia msimamizi wake, 'Waite wafanyakazi na uwalipe mishahara, kwa kuanza na wa mwisho hadi wa kwanza.' \v 9 Walipokuja wale walioajiriwa saa kumi na moja, kila mmoja wao alipokea dinari. \v 10 Walipokuja wafanyakazi wa kwanza, walifikiri kuwa watapokea zaidi, lakini walipokea pia kila mmoja dinari moja kila mtu.