sw_mat_text_reg/19/01.txt

1 line
170 B
Plaintext

\v 1 Ilitokea wakati Yesu alipomaliza maneno hayo, akaondoka Galilaya, na akaenda mpakani mwa Yudea mbele ya mto Jordani. \v 2 Umati mkubwa ukamfuata, na akawaponya huko.