sw_mat_text_reg/15/24.txt

1 line
270 B
Plaintext

\v 24 Yesu aliwajibu na kusema, Sikutumwa kwa mtu yeyoye isipokuwa kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.'' \v 25 Lakini alikuja na kuinama mbele yake, akisema, ''Bwana nisaidie.'' \v 26 Alimjibu na kusema, "Siyo vema kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa,"