sw_mat_text_reg/15/15.txt

1 line
196 B
Plaintext

\v 15 Petro akajibu na kumwambia Yesu," Tuelezee mfano huu kwetu, \v 16 Yesu akajibu, ''Nanyi pia bado hamuelewi? \v 17 Ninyi hamuoni kuwa kila kiendacho mdomoni hupitia tumboni na kwenda chooni?.