sw_mat_text_reg/15/12.txt

1 line
337 B
Plaintext

\v 12 Ndipo wanafunzi wakamwendea na kusema na Yesu, "Je!, Unafahamu Mafarisayo walipolisikia lile neno walikwazika?" \v 13 Yesu aliwajibu na kusema, "Kila mmea ambao Baba yangu wa mbinguni hajaupanda utang'olewa. \v 14 Waacheni pekee, wao ni viongozi vipofu. Kama mtu kipofu atamuongoza kipofu mwenzake, wote wawili wataanguka shimoni."