sw_mat_text_reg/15/10.txt

1 line
207 B
Plaintext

\v 10 Ndipo akawaita makutano na kuwaambia," Sikilizeni na mfahamu__ \v 11 Hakuna kitu kiingiacho mdomoni mwa mtu na kumfanya najisi. Bali, kile kitokacho kinywani, hiki ndicho kimfanyacho mtu kuwa najisi.''