sw_mat_text_reg/14/34.txt

1 line
279 B
Plaintext

\v 34 Na walipokwisha kuvuka, walifika katika nchi ya Genesareti. \v 35 Na watu katika eneo lile walipomtambua Yesu, walituma ujumbe kila sehemu za kando, na kuleta kila aliyekuwa mgonjwa. \v 36 Walimsihi kwamba waweze kugusha pindo la vazi lake, na wengi walioligusa waliponywa.