sw_mat_text_reg/14/31.txt

1 line
288 B
Plaintext

\v 31 Haraka Yesu akanyoosha mkono wake akamnyanyua Petro, na kumwambia, "Wewe mwenye imani ndogo, kwa nini ulikuwa na mashaka?" \v 32 Ndipo Yesu na Petro walipoingia katika mashua, upepo ulikoma kuvuma. \v 33 Wanafunzi mashuani wakamwabudu Yesu na kusema, "Kweli wewe ni Mwana wa Mungu."