sw_mat_text_reg/14/10.txt

1 line
251 B
Plaintext

\v 10 Alituma Yohana aletwe kutoka gerezani \v 11 ili akatwe kichwa chake na kikaletwa juu ya sinia na akapewa binti na akakipeleka kwa mama yake. \v 12 Kisha wanafunzi wake wakaja kuuchukua ule mwili na kuuzika, baada ya hili walienda kumwambia Yesu.